WANAHARAKATI WA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU WAPENDEKEZA FEDHA ZAIDI KWA IDARA YA MAHAKAMA
Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu na wasimamizi wa mashirika ya kijamii eneo la magharibi wametoa wito kwa serikali kuongeza mgao wa fedha katika idara ya mahakama.
wanahakati hao wanasema kuwa hatua hiyo itawezesha kutenga fedha za kufanikisha kesi za dhuluma za kijinsia kwa haraka ili familia husika zipate haki.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































