#Local News

MLALAMISHI: HARAMISHA MATUMIZI YA IKULU KISIASA

Kesi ya kikatiba imewasilishwa katika mahakama kuu ikitaka amri itolewe kuagiza kwamba matumizi ya Ikulu ya Rais kwa shughuli zenye miegemeo ya kisiasa ni kinyume na katiba jinsi ilivyo katika baadhi ya vipengee vya katiba.

Kwenye kesi hiyo, wakili Lempaa Suyianka anahoji kuwa raslimali za umma zimetumiwa kinyume na sheria kuendeleza ajenda ya chama tawala cha UDA, washtakiwa wakiwa mwanasheria mkuu, mdhibiti wa bajeti ya Ikulu, chama cha UDA na Rais William Ruto.

Mbali na agizo hilo, anataka agizo zaidi litolewe kushinikiza raslimali zote zilizotumika kwa shughuli hizo kurejeshwa.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MLALAMISHI: HARAMISHA MATUMIZI YA IKULU KISIASA

RUTO AKUTANA NA MABALOZI IKULU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *