UTEUZI WA ODM SERIKALINI KUWA MAWAZIRI WAPUNGUZA MAKALI YA MAANDAMANO
Baadhi ya vijana wa gen z wanasema kuwa wanasubiri kuona kama rais william Ruto atashughulikia maswala muhimu waliyoibua wakati wa maandamano likiwemo swala la kupunguza gharama ya Maisha.
Vijana hao wanasema kuwa kuteuliwa kwa wanachama wa ODM katika baraza la mawaziri kumepunguza makali ya maandamano ya Gen-Z.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































