#Local News

KUPPET YAWATAKA WAZAZI WABEBE MSALABA

Muungano wa kutetea maslahi ya walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET umebadili msimamo wake kuhusu karo ya shule, na kuwataka wazazi wakubali kulipa sehemu ya karo hiyo.

Kupitia kwa katibu wake mkuu Akelo Misori, KUPPET imewataka wazazi kuzingatia hali ya sasa ya kiuchumi nchini, anayosema imeizuia serikali kutoa mgao hitajika kwa kila mwanafunzi.

Pendekezo la KUPPET limesisitizwa na muungano wa walimu wakuu wa shule za upili KESSHA kupitia kwa mwenyekiti wake Willy Kuria.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

KUPPET YAWATAKA WAZAZI WABEBE MSALABA

“KAULI ZA WIZI’ ZAKOSOLEWA

KUPPET YAWATAKA WAZAZI WABEBE MSALABA

WADAU WATAKA POLISI, FKF KUMAKINIKA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *