#uncategorized

NEEMA WASHIEIKIANA NA SERIKALI YA KAUNTI YA NAIROBI KUWAKAMATA WANAOTUPA TAKA OVYO

Wanotupa taka ovyo katika maeneo haramu huenda wakjipata pabaya ikwapo hawatakoma kujfanya hivyo.

Hii ni baada ya mamlaka yha kusimamia mazingira nchin I NEEMA kwa ushirikiano na kaunti ya Nairobi kuanzisha msako mkali dhidi ya maeneo haramu ya kutupa taka eneo la Industrial Area jijikni Nairobi.

Watu sita wanaojihusisha na vitendo vya utupaji taka haramu tayari wametiwa mbaroni
Neema imetoa wito kwa wananchi kutupa taka kwa uwajibikaji na vile vile kufuata kanuni za mazingira

Imetayarishwa na Janice Marete

NEEMA WASHIEIKIANA NA SERIKALI YA KAUNTI YA NAIROBI KUWAKAMATA WANAOTUPA TAKA OVYO

GAVANA MUTAI ABANDULIWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *