RUTO:MIMI NDIO BORA
Rais William Ruto ameendelea kujiwasilisha kama suluhu kwa matatizo yanayowakumba vijana mfano wa ukosefu wa ajira, huku akiukosoa muungano wa upinzani kama usio na ufahamu kwa changamoto hizo.
Akizungumza katika eneo la Acher’s Post kaunti ya Samburu, Ruto amewataka vijana kujiepusha na viongozi anaowataja kama wachochezi, na badala yake kuwapiga msasa viongozi wao kutokana na rekodi ya maendeleo.
Alikuwa akizundua mradi wa serikali wa NYOTA.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































