GATHUNGU AKOSOA UKOPAJI WA SERIKALI
Kenya ina uwezo wa kufadhili miradi yake ya maendeleo bila kuhitaji kukopa fedha zaidi nyumbani na katika mashirika ya kimataifa.
Haya ni kwa mujibu wa mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Nancy Gathungu, akikariri kuwa ushuru wa juu na ufisadi ndivyo vizingiti vikuu katika juhudi za serikali kufufua uchumi, huku akikosoa kiwango cha juu cha deni la taifa.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































