#Local News

“SIWATAKI!”- GACHAGUA AWAAMBIA MAJAJI

Uongozi katika afisi ya naibu rais nchini unatarajiwa kukosa mwafaka hivi karibuni baada ya naibu rais aliyetimuliwa kutoka mamlakani Rigathi Gachagua kuwasilisha rufaa mahakamani kupinga uamuzi wa jopo la majaji 3 kudinda kujiondoa kwenye kesi yake.

Kwa mujibu wa Gachagua, uamuzi wa naibu jaji mkuu Philomena Mwilu kuteua jopo hilo si sahihi, una kasoro na ukiukaji mkubwa wa katiba, akiitaka mahakama ya rufaa kuizuia mahakama kuu kuendelea na vikao vya kusikiliza hoja ya kutimuliwa kwake hadi kesi aliyowasilishwa isikilizwe na kuamuliwa.

Aidha, ameilaumu mahakama kuu kwa kukosa kuongeza muda wa maagizo ya kumzuia naibu rais mteule Kithure Kindiki kuingia afisini licha ya kuwasilisha ombi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

“SIWATAKI!”- GACHAGUA AWAAMBIA MAJAJI

NSL: FORTUNE SACCO YAPANDA JUU, MAKALI YA

“SIWATAKI!”- GACHAGUA AWAAMBIA MAJAJI

WAUGUZI KISII KUSUSIA KAZI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *