SERIKALI KUKARABATI UPYA HOSIPITALI YA RUFAA YA KAKAMEGA

Serikali ya kitaifa itatumia kima cha shilingi bilioni kumi kuanzisha upya ujenzi wa Hosipitali ya rufaa ya kakamega na shilingi bilioni tatu kuboresha uwanja wa bukhungu katika kaunti ya Kakamega.
Kwa mujibu wa gavana wa kaunti hiyo Ferdadez Barasa rais William Ruto ameahidi kukamilisha miradi hiyo iliyokwama kwa muda mrefu.
Imetayarishwa na Janice Marete