#Local News

KENYA YATOA HATI KWA VYUO VIKUU VIWILI VIPYA

Wanafunzi ambao wana hamu ya kusomea katika chuo kikuu cha kitaifa cha Utafiti wa ujajusi wana kila sababu ya kutabamu baada ya chuo hicho kukabilthiwa hati rasmi za kuhudumu na Rais William Ruto.

Rais William Ruto ametoa hati kwa Chuo Kikuu cha Kitaifa cha Utafiti wa Ujasusi na Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Kenya, na kuvianzisha kama vyuo vikuu vipya zaidi nchini Kenya Hafla hiyo imefanyika katika Ikulu ya Nairobi inaangazia upanuzi wa sekta ya elimu ya juu nchini Kenya tangu 1970, na kufanya jumla ya vyuo vikuu vilivyokodishwa kufikia 66.

Katika matamshi yake, Rais Ruto amesisitiza kwamba kuanzishwa kwa taasisi hizi kunawakilisha dhamira ya kukuza elimu ya hali ya juu, uvumbuzi na utafiti utakaofaidi maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya Kenya.

Imetayarishwa na Janice Marete

KENYA YATOA HATI KWA VYUO VIKUU VIWILI VIPYA

ROBERT MATANO AJIVUNIA USHINDI WAKE DHIDI YA

KENYA YATOA HATI KWA VYUO VIKUU VIWILI VIPYA

WALIMU WAKUU WA SHULE ZA UPILI WATAKA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *