WIZARA YA AFYA YATAKIWA KULAINISHA MFUMO WA AFYA YA JAMII
Wito umetolewa kwa serikali kulainisha huduma za afya zinazotolewa chini ya bima mpya ya afya ya jamii SHA ili kuondolea mkenya mzigo wa gharama ya matibabu.
Imebainika kuwa ipo hjaja ya serikali kuendelea kutumia mifumo ya afya iliyopo inapoendelea kulainisha mifumo ya sasa ili kuhakikisha wakenya wote wanaendelea kunufaika na huduma za afya kabla watatue changamoto zilizopo.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































