#Local News

DCP YAVUNA KWENYE CHAGUZI NDOGO

Chama kipya cha DCP kinachoongozwa na aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua kimevuna pakubwa katika chaguzi ndogo za wadi mbali mbali, ikiwemo Kariobangi North kaunti ya Nairobi.

Kwa mujibu matokeo yaliyotangazwa na IEBC, David Wanyoike wa DCP amepata kura 2,282, mgombea huru John Kimanzi akipata kura 1,956 huku vyama vya ODM na UDA vikifuata kwa mbali katika nafasi za 3 na 4 mtawalia.

Aidha, Dickson Aduda wa DCP amepata ameibuka mshindi katika wadi ya Kisa East kaunti ya Kakamega kwa kura 1,952, chama hicho pia kikinyakua kiti cha wadi ya Narok Township kupitia kwa Douglas Masikonde.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

DCP YAVUNA KWENYE CHAGUZI NDOGO

UPA YAONYESHA UDA KIVUMBI NYAMIRA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *