WANAHARAKATI WAANDAMANA KUSHUTUMU TANZANIA

Baadhi ya wanaharakati wameandama nje ya afisi za ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi wakilalamikia hatua ya taifa hilo kuwazuilia na kisha kuwafurusha mawakili na wanaharakati waliokuwa wameelekea nchini humo kufuatilia kesi kuhusu uhaini inayomkabili kiongozi wa upinzani nchini Tundu Lissu.
Kulingana na wanahabarakati hao, hatua ya Tanzania sit u ukiukaji wa haki za kibinadamu, bali uvunjaji wa mkataba wa kidiplomasia.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa