#uncategorized

KAMBI MPYA ZA WAADHIRIWA WA MAFURIKO

Serikali ya kitaifa imeanzisha shughuli ya kuweka kambi mpya za kuwasaidia waathriwa wa mafuriko waliomo kwenye hifadhi katika shule mbali mbali.


Katibu katika wizara ya uslama wa ndani na masuala ya nchi Raymond Omollo, amesema uamuzi huo unalenga kuwezesha shughuli za masomo kurejelewa ipasavyo shule zitakapofunguliwa wiki ijayo.


Akizungumza wakati wa upanzi wa miche kaunti ya Homa bay alipoandamana na waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen, Omolo aidha amesema serikali inaendelea kutoa msaada na vifaa vingine muhimu kuwasaidia waathiriwa hao wa mafuriko

JENGO LA MAUTI BUNGOMA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *