#Local News

USHAHIDI UNAOCHUNGUZWA NA DCI KWENYE MAUAJI YA WAKILI

Ripoti ya upasuaji wa maiti ya wakili Kyalo Mbobu iliyotolewa hapo jana ikionyesha kuwa alipigwa risasi mara 8 ni miongoni mwa vifaa vitakavyosaidia katika kuendesha uchunguzi kwenye mauaji ya wakili huyo.

Mwanapatholojia mkuu wa serikali Johansen Oduor aliyeongoza upasuaji huo, amesema risasi 2 kati ya 8 zilikuwa zimekwama kwenye mwili wa mwendazake, na kwamba zimekabidhiwa kwa idara ya DCI.

Haya yanajiri huku mawakili chini ya chama cha LSK wakiratibiwa kuandamana hadi katika afisi ya Inspekta mkuu wa polisi Douglas Kanja hii leo kuwasilisha malalamishi yao kuhusu mauaji.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

USHAHIDI UNAOCHUNGUZWA NA DCI KWENYE MAUAJI YA WAKILI

RUTO, WAKUU WA WALIMU IKULU

USHAHIDI UNAOCHUNGUZWA NA DCI KWENYE MAUAJI YA WAKILI

E-GP SI TAFADHALI, RUTO AONYA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *