NEMIS NJE, KEMIS NDANI

Katika juhudi za kurahisisha shughuli za uhifadhi wa maelezo ya wanafunzi, serikali inapanga kuzindua mfumo mpya wa KEMIS unataochukua mahala pa mfumo wa sasa NEMIS.
Kulingana na katibu mkuu katika wizara ya elimu Julius Bitok, mfumo huo utatekelezwa kwa awamu.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa