RIPOTI YA UPASUAJI WA JIRONGO
Mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo, alifariki kutokana na majeraha ambayo yametajwa kuwa mabaya tumboni, kifuani na uti wa mgongo yaliyosababishwa na kugongwa kwa nguvu.
Haya ni kulingana na ripoti ya upasuaji wa maiti uliofanywa na wanapathalojia Joseph Ndung’u na Bernard Midia wakiiwakilisha familia ya Jirongo, na mwanapatholojia mkuu wa serikali Dakta Johansen Oduor.
Aidha, upasuaji ulionyesha kuvunjika kwa mbavu kadhaa kwenye ajali hiyo ambayo sasa ianchunguzwa.
Imetayarishwa na Antony Nyongesa
English 



