#Local News

UASU YATISHIA KUITISHA MGOMO

Muungano wa wafanyikazi wa vyuo vikuu Uasu umetishia kuwaagiza wanachama wake kususia kazi kuanzia mwezi Septemba iwapo serikali itatekeleza mpango wowote wa kuwaachisha kazi wahadhiri wa vyuo vikuu.

Wakiongozwa na katibu wa Uasu Constantine Wasonga wamepuuzilia mbali usemi wa waziri wa fedha John Mbadi kuwa serikali haina fedha za kutosha kufadhili elimu.

Imetayarishwa na Maureen Amwai

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *