WAZIRI WA FEDHA WA KAUNTI YA KISUMU GEORGE OKODE AHUKUMIWA MIEZI MBILI GEREZANI

Waziri wa fedha katika kaunti ya Kisumu George Okode ameamrishwa namahakama kuu ya Kisumu kulipa faini ya shilingi 200,000 au kuhudumu gerezani kwa kipindi cha miezi miwili baada ya kupatikana na hatia ya kutoti mahakama.
Jaji saida mwanaisha akitoaa uamuzi huo amesema kuwa hukumu ya kifungo cha miezi miwili haitatekelezwa hadi decemba kufuatia ombi la serikali ya kaunti ya Kisumu la kutaka hukumu hiyo kuangaziwa upya huku wakisema kuwa wak,o tayari kujadiliana na mwanakandarasi alikyewasilisha kesi hiyo mahakamani na kumlipa pesa zake baada ya kukamilisha ujenzi wa soko moja mjini Kisumu.
Imetayarishwa na Janice Marete