#Local News

MAHAKAMA YATIA BREKI JOPO, E-GP

Serikali imepata pigo mara 2 mahakamani baada ya mahakama kuu ya Nairobi kusitisha kwa muda utekelezaji wa mfumo wa utoaji wa tenda za serikali wa e-GP, huku ile ye Kerugoya ikisitisha kwa muda utendakazi wa jopo la kuwafidia waathiriwa wa maandamano nchini.

Katika uamuzi wao, majaji hao wamesema kuwa serikali haikufuata utaratibu katika kubuni jopo hilo pamoja na utekelezaji wa mfumo huo, na kuagiza kusitishwa kwake hadi kesi hizo zitakaposikilizwa na kuamuliwa.

Kulingana walalamishi kwenye kesi ya fidia, jukumu la kuchunguza na kuwafidia waathiriwa ni la tume ya KNCHR.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

MAHAKAMA YATIA BREKI JOPO, E-GP

KESI YA ‘ALIYEMUUA” RAIS YAENDELEA

MAHAKAMA YATIA BREKI JOPO, E-GP

HARAMBEE STARS WAREJEA UWANJANI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *