KALONZO KUANDIKISHA TAARIFA
Viongozi wa kenya kwanza sasa wanamtaka kiongozi wa wiper Kalonzo Musyoka kuandikisha taarifa na DCI kuhusu matamshi yake kuwa mkuu wa majeshi marehemu Francis Ogolla aliuawa.
viongozi hao wamesema ni sharti kalonzo achunguzwe ili athibitishe matamshi yake na iwapo yamechochewa kisiasa.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































