#Local News

RUTO ATII SHINIKIZO ZA MSWADA

Hatimaye Rais William Ruto amekataa kutia Saini na kuutupilia mbali mswada wa fedha wa mwaka 2024 baaad ya shinikizo kutoka kwa Wakenya.

Katika hotuba kwa taifa kutoka Ikulu ya Nairobi, Ruto amesema amechukua hatua hiyo kama njia ya kukubaliana na uamuzi wa watu.

Haya yanajiri baada ya wiki nzima ya maandamano yaliyioongoizwa na vijana kutoka na mependekezo ya ushuru wanaosema unawakndamiza.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

RUTO ATII SHINIKIZO ZA MSWADA

MALKIA STRIKERS WASEMA WAKO TAYARI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *