KUPOTEZA KITAMBULISHO, CHETI CHA KUZALIWA KUFUATIA MAFURIKO NI SWALA LA DHARURA

Visa vya wakenya kupoteza vitambulisho,vyeti vya kuzaliwa wakati huu wa mafuriko , vitachukuliwa kuwa vya dharura.
Kwa mujjibu wa katibu wa idara ya uamiaji b alozi Julius Bitok akiongeza kwamba kituo maalum kimetengwa katika jumba la nyayo ili kushughulikia visa kama hivyo.