#Business

WAKENYA ANA KWA ANA NA ‘UKOSEFU’ WA MSWADA

Wakenya sasa watakosa maendeleo kutokana na matumizi madogo ya bajeti ya mwaka huu 2024/2025 katika serikali kuu na ile ya kaunti baada ya mswada wa kifedha kutupiliwa mbali, hii ni kwa mujibu wa ripoti kutoka ofisi ya bajeti ya kitaifa.  

Hata hivyo, hili linaongezea hasara ambayo taifa hupata kila mwaka kutokana na ufisadi ambayo ni theluthi moja ya bajeti ya kila mwaka licha ya ongezeko la mwaka hadi mwaka la mipango ya matumizi, huku matumizi ya kawaida, ambayo ni pamoja na mishahara na marekebisho, yakichukua sehemu kubwa ya bajeti.

Bajeti za nchi kwa miaka mitano iliyopita kuanzia 2020-21 zimekuwa Shilingi trilioni 2.89 mwaka wa, Shilingi trilioni 3.03, Shilingi trilioni 3.3 na Shilingi trilioni 3.7 mtawalia

Imetayarishwa na Maureen Amwayi

WAKENYA ANA KWA ANA NA ‘UKOSEFU’ WA MSWADA

TEKELEZENI AFCFTA, AFRIKA YASHAURIWA

WAKENYA ANA KWA ANA NA ‘UKOSEFU’ WA MSWADA

KENNEDY ALIUAWA NA POLISI RONGAI WAKATI WA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *