#Basketball #Sports

DUMAS WADUMISHA USHINDI

Equity Dumas Wameshinda Medali Ya Pili Katika Ligi Kuu Ya Kikapu Ya Kitaifa Ya Kenya Baada Ya Kulaza Strathmore Blades 71-66 Siku Ya Jumapili, Kwenye Ukumbi Wa Nyayo Gymnasium.

Wanabenki Hao Ambao Walikuwa Wamepoteza Michezo Yote Ya Nusu-Nusu Baada Ya Kuchapwa Mabao 3-0 Na Mabingwa Nairobi City Thunder, Walianza Robo Ya Kwanza Wakiwa Na Uongozi Finyu Wa 22-20 Dhidi Ya Strathmore Kabla Ya Kurefusha Mwanya Wa Robo Ya Pili. Ushindi Wa 15-13.

Kocha Mkuu Wa Equity Dumas Carrey Odhiambo Alielezea Kutoridhishwa Na Uchezaji Wa Timu Hiyo Kuelekea Mwisho Wa Msimu.

Kwa Upande Wake, Kocha Mkuu Strathmore Blades Tony Ochieng Alipongeza Uthabiti Wa Timu Yake Msimu Mzima.

Kwa Upande Wa Wanawake, Zetech Sparks 46- 40 Kuwili Strathmore Swords Katika Nafasi Ya Tatu Na Mchujo Wa Nne Uliochezwa Jumamosi Asubuhi Katika Ukumbi Huo Huo.

Imetayarishwa na Nelson Andati

DUMAS WADUMISHA USHINDI

CITY THUNDER WANYAKUA USHINDI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *