#Sports

KOCHA WA ZETECH ALAUMU KLABU CHAKE KW AMWANZO MBAYA

Licha ya ushindi mnono dhidi ya mabingwa watetezi Equity Hawks, kocha mkuu wa Zetech Sparks Maurice Obilo alikiri kwamba timu yake haikuanza na mwanzo mzuri katika pambano lao la wikendi.

Zetech iliishinda Equity 69-61 katika mechi ya Ligi Kuu ya Kikapu ya Kitaifa ya Wanawake ya Kenya iliyoandaliwa katika uwanja wa Nyayo Gymnasium, Nairobi.

Ushindi huo ulihifadhi msururu wao wa kutopoteza katika ligi hiyo.

Alibainisha zaidi ushindani unaokua katika ligi:

Zetech wanashika nafasi ya pili wakiwa na pointi 32 baada ya michezo 17, wakijivunia ushindi mara 15 na kupoteza mara mbili pekee, huku ikiwa imesalia michezo mitano. Equity nayo inaongoza ikiwa na pointi 33 katika mechi 19, ikiwa imeshinda 14 na kupoteza tano. Wamebakiza mechi tatu kumaliza msimu wa kawaida.

Ulinzi Warriors wang’ara kwa kushinda mara mbiliUlinzi kwa sasa ana pointi 34 kutokana na mechi 20, akiwa ameshinda 14 na kupoteza sita. Wamebakiza mechi mbili katika msimu wa kawaida.

Imetayrishwa na Nelson Andati

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *