TUUNGANE TUJENGE AFRIKA;RAIS RUTO ASEMA
Rais William ruto anaongoza kikao cha mageuzi katika umoja wa afrika mjini Naivasha kaunti ya Nakuru
Kwa mujibu war ais Ruto pana haja ya mataifa ya afrika kushirikiana kuboresha majukumu ya muungano wa afrika AU kwa manufaa ya wananchi.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































