EACC IMEFELI KUKABILIANA NA UFISADI
Seneta wa kaunti ya nyandarua John Miithu ameelekeza kidole cha lawama kwa tume ya kukabili ufisadi EACC kwa madai kwamba EACC imekuwa kiungo dhaifu katika vita dhidi ya ufisadi.
Kwa mujibu wa Miithu wametuma faili 146 za ufisadi kwa EACC ila hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya watuhumiwa na tume hiyo huku akiwataka wahusika katika EACC kuwajibika.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































