#Business #Local News

CRA YAKATAA MFUMO WAONE MAN ONE VOTE ONE SHILING

Kamishina wa tume ya ugavi wa raslimali CRA Hadija Juma amesema kwamba tume hiyo haitazingatia mfumo wa One Man One Vote One Shilling kwa kuwa hakuna kaunti yoyote inapendekeza mpango huo.

Akizungumza katika kaunti ya Uasian Gishu Juma amesema CRA inachukua maoni ya kaunti zote 47 ila hakuna kaunti yoyote inayopendekeza mpango huo wa ugavi wa raslimali.

Juma aidha amesema mjadala huo ulioanzishw na naibu wa rais Rigathi Gachagua hauzingatii usawa wa maeneo tofauti nchini na hivyo basi baadhi ya maeneo yatatelekezwa na kusalioa nyuma kimaendeleo iwapo mpango huo utatelezwa Kwa upande wake gavana wa Uasian gIshu Jonathan Bee amesema kwamba mpango huo wa ugavi wa raslimali nik siasa duni na ambao hauwezi kunufaisha wakenya.

Imetayarishwa na: Janice Marete.

MWANANGU YUKO WAPI?

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *