#Local News

SENETI KUJADILI MSWADA WA FEDHA

Bunge la seneti leo hii linatarajiwa kufanya kikao maalum kujadili baadhi ya mapendekezo katika mswada wa fedha wa mwaka 2024-2025.

Kuligana na mwenyekiti wa kamati hiyo Kimani Kuria maoni ya wakenya yatapewa kipaumbele katika kikao hicho.

Imetayarishwa na Janice Marete

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *