#Local News

SERIKALI INAWALINDA, KINDIKI

Serikali imewahakikishia wakenya usalama licha ya joto la kisiasa linaloendelea kushuhudiwa nchini kuelekea kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Akizungumza wakati wa hafla ya kuwawezesha akina mama kiuchumi katiika kaunti ya Kitui, Naibu Rais Kithure Kindiki amesema serikali iko macho kuwakabili viongozi wanaowachochea wananchi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

SERIKALI INAWALINDA, KINDIKI

MZIGO WA KARO MLANGONI

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *