SIMIYU; RAILA SIO MSALITI

Katibu wa chama cha ODM kaunti ya transnzoia John Simiyu amewasuta wanaoeneza maneno ya dharau kwa kumtaja Raila Odinga kuwa msaliti
Imetayarishwa na Janice Marete