WAZALIWA WA NJE YA NDOA WAVUNA WASIPOPANDA

Iwapo bunge litapitisha mswada wa sheria ya urithi wa marekebisho wa mwaka wa 2023 watoto waliozaliwa nje ya ndoa watakuwa na haki ya kurithi mali ya baba mzazi.
Mswada huo unaofathiliwa na seneta mteule Veronica Maina unalenga kufanya marekebisho sheria ya urithi ili kuhakikisha mali inagawanywa kwa usawa miongoni mwa Watoto wote wa mzazi wa kiume aliyefariki.
Imetayarishwa na Janice Marete