#Local News

IEBC: NYACHAE AKANA ‘MAZOEA’ YA KUJIUZULU

Zoezi la kuwahoji wakenya 11 wanaotaka kuchukua wadhifa wa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC linaendelea, Charles Nyachae akilihakikishia jopo linalomhoji kuwa atatekeleza majukumu yake ipasavyo ili kuhakikisha uchaguzi huru na haki iwapo atapewa wadhifa huo.

Akiwa mbele ya jopo hilo, Nyachae amekanusha uwezekano wake yeye kujiuzulu iwapo atateuliwa, jinsi alivyofanya kutoka mahakama ya haki ya Afrika Mashariki IEBC.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

IEBC: NYACHAE AKANA ‘MAZOEA’ YA KUJIUZULU

SIASA MBAYA MAISHA MBAYA

IEBC: NYACHAE AKANA ‘MAZOEA’ YA KUJIUZULU

NAIROBI KUGHARAMIA KIFUA KIKUU, USAID YAJIONDOA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *