SERIKALI YA KAUNTI YA TRANSNZOIA YAANZISHA MCHAKATO WA KUHIFATHI MAZINGIRA

Serikali ya kaunti ya Transnzoia inaweka mipaka karibu na kingo za mito Pamoja na sehemu zenye chemi chemi ili kupiga jeki juhudi za kuhifathi mazingira.
Waziri wa maji,katika kaunti hiyo Pepela Wanjala ameagiza watu wanaoendesha shughuli za kiliomo katika sehemu hizo kusitisha shughuli hizo mara moja.
Imetayarishwa na Janice Marete