KENYA IMEWEKA MIKAKATI KABAMBE KULINDA DETA ZA WAKENYA MITANDAONI

Rais William ruto amewahakikishia wakenya kwamba serikali yake imeweka mikakati kabambe ili kulinda data ya wakenya mitandaoni.
Akizungumza wakati wa kituo cha kimataifa cha mawasiliano CCI Tatu City eno la ruiru kaunti ya Kiambu, Rais ametaja uzinduzi katika vituo vya kiteknolojia kuwa unalenga kubuni nafasi za ajira kote nchini.
English 



















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































