KOSKEI ASHTUMU UTENDAKAZI WA BAADHI YA TUME NCHINI
Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei amesema kwamba ufisadi kwenye sekta ya umma umechangia kudorora kwa uchumi wa taifa.
Akizungumza kwenye uzinduzi rasmi wa tume ya mishahara nchini SRC, koskei ameshutumu utendakazi wa baadhi ya tume nchini ambazo hazitumikii wakenya ipasavyo ilhali zinapokea mishahara mikubwa.
Imetayarishwa na Jones Koikai
English 


























































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































