#Local News

“ASANTE, LAKINI HAPANA!” WAKENYA WAJIBU

Saa chache baada ya serikali kutangaza marekebisho katika mswada wa kifedha, baadhi ya viongozi na na wananchi wameonyesha kutorisshwa na hatua hiyo, wakisema baadhi ya vipengee tata vimebakishwa kwenye mswada huo.

Mojawapo ya vipengee hivyo ni marekebisho ya sheria ya ulinzi wa data ili kuipa mamlaka ya ukusanyaji ushuru KRA kufikia maelezo ya kibinafsi ya mlipa ushuru.

Baadhi akiwemo mbunge wa Mumias Mashariki Peter Salasya, wamepndekeza kutupiliwa mbali mswada huo. 

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

“ASANTE, LAKINI HAPANA!” WAKENYA WAJIBU

USHURU WA MKATE WATUPILIWA MBALI

“ASANTE, LAKINI HAPANA!” WAKENYA WAJIBU

OWINO AAPA KUUNGUSHWA MSWADA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *