UCHUNGUZI WA MAITI ZA KWARE KUREJELEWA LEO
Uchunguzi wa maiti zilizopatikana eneo la taka kware kaunti ya Nairobi utaendelea hii leo baada ya kusitishwa hapo jana ili kuruhusu mamlaka kupiga picha za X-Ray kwenye miili hiyo.
Wanapatholojia wakiongozwa na Johansen Oduori walifanikiwa siku ya jumatatu kufanya uchunguzi wa moja ya miili ambayo imetambuliwa kufikia sasa.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































