VIJANA ZAIDI YA 200 KUJIUNGA NA CHUO CHA KIUFUNDI KITALE HUKO TRANSNZOIA
Vijana zaidi ya 200 kutoka wadi ya Waitaluk katika kaunti ya Transnzoia wamehamasishwa na kurtatibiwa kujiunga na chuo cha kiufundi kitale ili kupata ujuzi wa taaluma mbalimbali.
Kwa mujibu wa mwakilishi wa wadi ya waitaluk Lusweti Furaha mpango huo unalenga kusuluhisha tatizo la ukosefu wa ajira nchini huku akikahidi kuwa vijana hao watakapohitimu watapokezwa vifaa vya kuanzisha Maisha yao ya kibiashara.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































