WAKULIMA WA MAHINDI WAITAKA SERIKALI KUWANUNULIA MAHINDI GUNIA YA KILO 90 KWA SHILINGI 4500
Wakulima katika kaunti ya Transnzoia wametoa wito kwa serikali kununuja mahidi kutoka kwa wakulima ili kuwaondolea thiki ya kupunjwa na walaghai wanaowanunulia gunia moja ya mahidi ya kilo 90 kwa shilingi 2500.
Wakulima hao sasa wanaishinikiza serikali kupandisha bei ya mahindi ya gunia moja ya kilo 90 kutoka 4000 hadi 4500.
Imetayarishwa na Janice Marete
English 





















































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































