#Local News

KITHURE AWAONYA WAPINZANI

Naibu rais Kithure Kindiki amewahakikishia wakenya kuwa serikali inaangazia pakubwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo badala ya kujitosa katika kampeni za uchaguzi mkuu ujao.

Kithure ameyasema haya kwenye mkutano na viongozi wa kaunti ya Nyandarua katika makazi yake rasmi mtaani Karen jijini Nairobi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *