#Local News

KCSE YAANZA LEO

Watahiniwa zaidi ya elfu 900 wanaanza rasmi mtihani wao wa kidato cha 4 KCSE hii leo, mtihani ulioratibiwa kufanywa hii leo ni ule wa kategoria ya kuandika.

Kulingana na ratiba ya baraza la mitihani ya kitaifa KNEC, mtihani huo utakamilika tarehe 21 mwezi huu kwa karatasi ya 3 ya Fizikia.

Waziri wa elimu Julius Ogamba ametoa hakikisho kuwa 

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *