#Local News

GACHAGUA ROHO MKONONI, HOJA YAIDHINISHWA

Ni rasmi sasa kwamba hatma ya naibu rais Rigathi Gachagua kuendelea kuhudumu katika wadhifa huo imo mikononi mwa wabunge, baada ya spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula hoja ya kumbandua Gachagua.

Kwa sasa kinachosubiriwa ni mwasilishaji wa hoja hiyo ambaye ni mbunge wa Kibwezi Magharibi Mutuse Mwengi, kuchagua siku ya kujadiliwa kwa hoja hiyo.

Akiidhinisha hoja hiyo, Wetang’ula amesema kwamba imeafikia vigezo vyote kisheria kujadiliwa bungeni.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

GACHAGUA ROHO MKONONI, HOJA YAIDHINISHWA

HOJA YA KUKOSA IMANI KWA RUTO YAFIKA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *