#Local News

SIKUMWUUA REX, AFISA WA POLISI AKANA MAHAKAMANI

Afisa wa polisi kwa jina Isaiah Murangiri, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kumwua Rex Maasai amekana kuhusika na mauaji hayo, akikana Ushahidi wa picha video na deta za simu uliowasilishwa mahakamani.

Wakati wa kikao cha hapo jana, afisa huyo alikana ushahidi unaoonekana kuwa wazi, ikiwemo deta za mawasiliano ya sim una picha inayomwonyesha akiwa karibu na eneo la mauaji, ila akakana kuwa picha hiyo si yake licha ya kufanana naye.

Mahakama imewaagiza maafisa wengine 3 wa kituo cha polisi cha Central kuwasilisha taarifa zao kwa maafisa wa upelelezi.

Imetayarishwa na Antony Nyongesa

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *