#Local News

MORARA KEBASO ASHAMBULIA NA KUJERUHIWA HUKU MACHAFUKO YAKIZUKA BOMAS

Mwanaharakati Morara Kebaso amejipata akihangaika kutafuta usalama katika eneo la Bomas of Kenya baada ya machafuko kuzuka wakati wa zoezi la ushiriki wa umma kuhusu hoja ya kumtimua Naibu Rais Rigathi Gachagua.

Tukio hilo linajiri kufuatia mzozo kati ya wapambe wa Kebaso na watu wasiojulikana wakitaka aondoke katika eneo hilo.

Kebaso, ambaye anasifika kwa kufichua siri nyingi za serikali, amerusha ngumi hewani kwa ukaidi, akionyesha mbinu ya mshikamano huku akisimama kidete.

Imetayarishwa na Janice Marete

MORARA KEBASO ASHAMBULIA NA KUJERUHIWA HUKU MACHAFUKO YAKIZUKA BOMAS

WAKAAZI WA KAUNTI YA KISUMU WAPINGA KUBANDULIWA

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *