#Local News

WATU 8 WAMEKAMATWA KUFUATIA KUTOWEKA KWA RAIA WA KOREA KUSINI HUKO MOYALE

Maafisa wakuu wa usalama wakiongozwa na Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli wamekutana mjini Moyale kwa mkutano wa dharura wa usalama kufuatia kutekwa nyara kwa raia wawili wa Korea Kusini hivi majuzi.

Kisa hicho kilichotokea usiku wa Agosti 12, 2024, kilihusisha wavamizi wawili waliokuwa na silaha waliovamia Shule ya Sekondari ya Odda Mission walimokuwa wakiishi.

Kulingana na uchunguzi wa awali, washukiwa hao walikimbia eneo hilo kwa pikipiki, kuelekea Funanyatta kwenye Barabara kuu ya Marsabit-Moyale huku wakifyatua risasi. Operesheni ya haraka ya mashirika mengi ya utafutaji na uokoaji ilizinduliwa mara moja.

Imetayarishwa na Janice Marete

WATU 8 WAMEKAMATWA KUFUATIA KUTOWEKA KWA RAIA WA KOREA KUSINI HUKO MOYALE

SIMIYU; RAILA SIO MSALITI

WATU 8 WAMEKAMATWA KUFUATIA KUTOWEKA KWA RAIA WA KOREA KUSINI HUKO MOYALE

DCI NJERI; TUJIEPUSHE NA WAHALIFU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *