MAHAKAMA YAMRUHUSU GACHAGUA KUONDOA BAADHI YA KESI ALIZOWASILISHA MAHAKAMANI

Ni afueni kwa aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua baada ya mahakama kumruhusu kuziondoa baadhi ya kesi alizokuwa amewakilisha mahakamani.
Gachagua kupitia kwa wakili mkuu wake Paul Mwite amewaambia majaji kwamba maswala mengine kama vile kuzuia kuapishwa kwa Kindiki kama naibu war ais yamepitwa na wakati.
Imetayarishwa na Janice Marete