#Food #Local News

FAO NA EUROPEAN UNION YAHAMASISHA WAKULIMA TRANSNZOIA

Shirika la kimataifa la kilimo na chakula FAO likishirikiana na European Union na serikali ya kaunti ya transnzoia limehamasisha umma hasa wamiliki wa mashamba kuhusu juhudi zinazoendelea kuwekwa na serikali kuhakikisha kwamba wanafuatilia rekodi na kupata huduma zote za mashamba kwa njia ya kidijitali.


Mshirikishi wa FAO kaskazini mwa bonde la ufa Lydia Achieng anasema mbinu hiyo ya kidigitali itarahisisha umma kupunguza gharama za usafiri na kukabil.i mizozo ya umiliki wa mashamba nchini
Mkuurugenzi wa miji katika kaunti ya transnzoia Beatrice Wangila amewarai wananchi kusuluhisha mizozoz ya umili,ki wa mashamba nje ya mahakama ili kurahisisha mizoz hiyo kutatuliwa.

Imetayarishwa na: Janice Marete

FAO NA EUROPEAN UNION YAHAMASISHA WAKULIMA TRANSNZOIA

NANI KAMUUA HASSAN?

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *