#Local News

KARISH ATISHIA KUPINGA USHINDI WA WA  MUTHENDE

Aliyekuwa mgombeaji wa ubunge katika eneo la Mbeere North kwa tiketi ya chama cha DP Newton Karish, ametishia kupinga ushindi wa mbunge mteule eneo hilo Leo wa Muthende mahakamani, kutokana na tofuati za majina katika vifaa vya KIEMS na karatasi za kupigia kura.

Kupitia kwa wakili wake Ndegwa Njiru, Karish ameibua madai kwamba tume ya IEBC ililegeza masharti kwa wagombeaji wanaoegemea mrengo wa serikali.

Kwa mujibu wa IEBC, wa Muthende alishinda kwa kura 15,802 dhidi ya 15,308 alizopata Karish wa chama cha DP, tofauti ikiwa kura 494 pekee.

KARISH ATISHIA KUPINGA USHINDI WA WA  MUTHENDE

ODM:TUNGALA IMARA NA MAARUFU

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *